Utafiti wa kitaaluma kuhusu hali ya kutafuta nyumba za kupanga. Hakuna jibu baya — tunataka uzoefu wako wa kweli.
Inachukua dakika 5 hadi 7 tu.
⏱ Dakika 5–7🔒 Siri kabisa🇹🇿 Tanzania nzima
0 / 0 maswali
🙏
Umeshajaza fomu hii!
Majibu yako tayari yamehifadhiwa. Utafiti huu unaweza kujazwa mara moja tu kwa kila kifaa. Asante sana kwa
ushiriki wako!
Saidia zaidi kwa kushirikisha utafiti huu 👇
Sehemu A
Habari zako za msingi
Swali 1
Unaishi mkoa gani sasa hivi?*
Chagua mkoa unaokaa sasa
Swali 2
Kazi yako ni nini kwa sasa?*
Swali 3
Je, kwa sasa umepanga nyumba au una nyumba yako mwenyewe?*
Swali 3b
Je, umewahi kupanga nyumba au chumba zamani?*
Jibu lako litaamua maswali yanayofuata
Swali 4
Pango unalolipa kila mwezi ni kiasi gani (TZS)?
Swali hili linakuhusu kwa sababu unasema unapanga
Sehemu B
Jinsi unavyotafuta nyumba
Swali 5
Mara ya mwisho ulipotafuta nyumba, ulitumia njia gani?*
Chagua zote zinazokufaa
Swali 6
Ulitumia muda gani kutafuta nyumba ya mwisho uliyoipata?*
Swali 7
Je, ulitumia dalali kupata nyumba yako?*
Swali 8
Dalali alikulipisha kiasi gani?
Swali hili linakuhusu kwa sababu ulisema ulitumia dalali
Swali 9
Ulikutana na matatizo gani wakati wa kutafuta nyumba?*
Chagua yote yanayokufaa
Sehemu C
Imani na usalama
Swali 10
Je, uliwahi kukutana na nyumba ya uongo (scam) ulipotafuta?*
Swali 10b
Ulipoteza kiasi gani kwenye scam hiyo?
Asante kwa uwazi wako — hii itasaidia sana utafiti huu
Swali 11
Kitu gani kinakufanya ukubaliane na mwenye nyumba bila wasiwasi?*
Chagua zote zinazokusaidia zaidi katika kumuamini mwenye nyumba.
Swali 12
Ungependa kulipa deposit yako kupitia app badala ya moja kwa moja?*
Deposit ingehifadhiwa salama na kutolewa tu ukisema umeingia (escrow)
Sehemu D
Teknolojia na matumizi ya simu
Swali 13
Unatumia simu ya aina gani zaidi?*
Swali 14
App zipi unazotumia mara kwa mara?*
Chagua zote
Swali 15
Je, umewahi kutumia tovuti au app kutafuta nyumba?*
Sehemu E
Mtazamo wako kuhusu matumizi ya app ya kupanga
Swali 16
Kama kungekua na App inayokuruhusu kutafuta nyumba moja kwa moja na mwenye nyumba — bila
dalali. Ungeitumia?*
Swali 17
Kitu gani muhimu zaidi kwako ambacho ungependa kukiona kwenye app ya kutafuta nyumba?*
Chagua zote zinazokupendeza zaidi. Kama chaguo lako halikupo kwenye orodha, tafadhali jaza
kisanduku cha "Nyingine" hapa chini na uandike pendekezo lako mwenyewe.
Swali 18
Ungekubali kulipa ada ndogo ya mafanikio (TZS 10,000–25,000) ukishapata nyumba kupitia
app?*
Kutafuta na kuwasiliana ni bure. Unalipa tu ukipata nyumba kweli
Swali 19
Kwa kipimo cha 1–5, tatizo la kupata nyumba Tanzania ni kubwa kiasi gani kwako?*
1 = Tatizo dogo / 5 = Tatizo kubwa sana
Tatizo dogoTatizo kubwa sana
Swali 20
Una maoni, wazo, au uzoefu wowote unaotaka kushiriki?*
Hii ndiyo nafasi yako — sema chochote. Kiswahili au Kiingereza
Hatua ya Mwisho
Jiunge na listi ya kusubiri (Waitlist) 🚀
Tungependa kukujulisha app ikikamilika ili uwe wa kwanza kuitumia bure!
Asante kwa muda wako. Majibu yako ni ya thamani sana. Yatatumika kwa madhumuni ya kitaaluma tu — bila
kujulikana kwako.
🔒 Hakuna jina linalohifadhiwa. Majibu yako ni ya siri kabisa.